TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA ๐
Heshima nyumbani au ya mkewako hailetwi kwa kumpiga ngumi au kumjeruhi.
Anza kwa kujiwekea misingi mapema toka katika mahusiano, simama kama mwanaume sio kila siku kuwa soft.
Ukiwa soft kwenye relationship stage unazoeleka hivyo kiasi kwamba, akishaingia ndani ukabadilika na kuanza kusimamia misingi hatoelewa.
So anzia kwenye mahusiano umjenge kama unavyotaka na aingie kwenye mifumo yako sio wewe uingie kwenye mifumo yake.
Hapo nimeongea kwa mwanamke wa kuwa mke hao wengine mnajua chakufanya.
JOINED 2025 NA 2026 SOMA KIUMAKINI HIZI SHERIA ZA X
_Usiongee baya lolote kuhusu chadema
_Dizasta vina ndo rapper bora tanzania
_Wenye followers kuanzia 10K ni masuper star
_Wasimbe hawana haki
MUME: "Nafanya Kazi Kwa Bidii Kwa Ajili Ya Mke Wangu Na Watoto Wangu."
MKE: "Nafanya Kazi Kwa Bidii Kwa Ajili Ya Watoto Wangu"
WATOTO : "Nafanya Kazi Kwa Bidii To Make My Mama Proud"
Sijui Nataka Kusemaje Lakini Mwanaume Hana Backup Zaidi Ya MUNGU. Tupambane
Mwanaume usikubali kushusha thamani yako kwa ajili ya Sieix.
Bro usivumilie Dis-respect kwa ajili ya Sex.
Kaka usichague Sex kuliko heshima yako mwenyewe.
Kumbuka kwamba,
Sex inadumu kwa dakika chache tu, Lakini heshima yako mwenyewe inadumu maisha yote.
Kukubali kuvunjiwa heshima kwa sababu tu manzi anakupa K ni upuuzi na hufanywa na wanaume dhaifu.
Kummer isiwe chanzo cha kufanya udharaulike.
CODES 5 ZA KIUME
1: Usiongeze text juu ya text ambayo haikujibiwa
2: Simu ni moja akiona missed call atakurudia asipokurudia JIONGEZE
3:Ishi kama kioo akicheka ma wewe cheka ,akinuna nawewe nuna , cheza ngoma sawa na anavyopiga mtu
4 Msisahau Kusali Wanangu
Nawalilia waliopoteza ndugu na jamaa. Nawatakia nguvu na ujasiri wa kuendelea na maisha. Kama kuna kitu tumejifunza ni kuwa, mabadiliko ni gharama. Walale pema waliotutangulia. May their courage never go unnoticed.
Forever in our hearts ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ
@Sirjeff_D HII INGEKUA AJENDA YA MWAKA HUU WOTE BILA HATA KUSEMEZANA NAO CHOCHOTE INGEKUA NA IMPACT SANA
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK
UNFOLLOW
BLOCK