@SMaulidi18618@kalage_jr Hata mlinzi wa getini kwa tafsiri rahisi ni afisa usalama. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kafanye research upya., yupo Kabanga Nickel na wengine kadhaa baada ya kustaafu kwa field hiyo hiyo.
@mshambuliaji Haya matamko ya utapeli wawafanyie watoto, hizo roller za plastiki ni imported, je mamlaka ya bandari hawakuziona wakati zinaingizwa nchi? Mamlaka ya mapato walitoza kodi mzigo ambao hawaujui? Ikithibitika hiyo mifuko ina micron sahihi kwa matumizi ya mifuko huyo waziri atawalipa
@MankindUwezo Ujinga ni mzigo. Scania ni Car manufacturer, IRIZAR ni body maker kama ilivyo MARCOPOLO. So kampuni yeyote inaweza kuingia mkataba wakawatengenezea body. Mbona hata TATA wana tengenezewa body na MARCOPOLO?
Tulipokua tunaenda shule nilikua mnaishia kichakani ( RUBBISH)
@millardayo Ni rahisi muislamu kuoana na mkristo kuliko CCM kuoana na CHADEMA naamini haiwezi kutokea labda wawe wanasiasa wenye tabia za BULAYA na YERIKO ndio wanaweza kuoana