Habari kubwa katika gazeti la Jamhuri, wiki hii.
■Mnyukano Mpya Z'bar.
■Wizara ya nishati lawamani.
■Wabunge watueleza mkataba wa Bandari, DP World ni upi?
■'PLAYOFF'....Ni miongoni mwa doa katika soka letu.
Zaidi ya muhtasari!
Soma kupitia https://t.co/cC0RilkqSC
Habari kubwa katika gazeti la Jamhuri, wiki hii.
■Ukweli mchungu.
■Mbowe atikisa nguzo ya Muungano.
■CWT wazidi kufukuta, wamwangukia Rais Samia.
■Simba walikosea hapa ...Yanga ni kicheko tu.
Zaidi ya muhtasari!
soma kupitia https://t.co/cC0RilkqSC
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bodi wa kampuni ya #PrecisionAir Michael Ngaleku Shirima amefariki Dunia leo Juni 10, 2023 katika hospital ya Aga Khan alikokuwa akipewa matibabu.
Rais Samia pamoja na viongozi mbalimbali wametuma salamu zao za pole kwa ndugu na familia.
Habari kubwa katika gazeti la Jamhuri, wiki hii.
■Matapeli watikisa.
■TBA lawamani migogoro ya nyumba Dar.
■Zitto:Kwa nini umaskini Kagera?
■Kiswahili kinakwamisha wasanii kimataifa?.
■Hawa wameibeba Yanga CAF.
Zaidi ya muhtasari!
soma kupitia https://t.co/cC0RilkqSC
Rais wa Marekani #JoeBiden amejikwaa na kuanguka jukwaani wakati alipokuwa akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya jeshi la wanaanga huko Corolado nchini Marekani.
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Biden ameanguka mara baada ya kusimama kwa muda wa saa 1 katika hafla hiyo
Habari kubwa katika gazeti la Jamhuri, wiki hii.
■Zanzibar watapanya fedha za Rais Samia.
■Kwaheri Mkono, maisha yako yanasherehekewa Musoma.
■Kiza,utata kifo cha Membe.
■#Yanga akili yote Aligiers.
Zaidi ya muhtasari!
Soma kupitia https://t.co/cC0RilkqSC
📸📸Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda leo Mei 25, 2023.
Mradi huo utanufaisha nchi zote mbili katika masuala ya Nishati ya umeme.
Habari kubwa katika gazeti la Jamhuri, wiki hii.
■Kizungumkuti Polisi, Halmashauri Kibaha.
■Mwanamke kinara usafirrishaji binaadamu afungwa jela Mara
■Katiba si sera wala ilani za vyama
■Yanga ni raha tu
Zaidi ya muhtasari!
Soma kupitia https://t.co/cC0RilkqSC
Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma, leo Mei 20, 2023. Fuatilia Matangazo haya Mubashara kupitia YouTube Channel yetu Jamhuri TV
#Tanzania#habari#ikuluchamwino#JamhuriUpdatese #🇹🇿