Stadi za Maisha:
Sauti ya Jamii tumetoa mafunzo kwa watoto nanna ya kutengeneza mkate wa nazi kwa njia rahisi Tunakutana na watoto mara mbili kwa mwezi kuwafundisha Mambo Mbalimbali ikiwemo namna ya kugundua viashiria vya Ukatili, Utunzaji Mazingira na stadi
Vijana 13 na
kutoka Aid academy ya Save the Children Sweden wamefanya ziara ya mafunzo kwenye Kikundi cha
Sauti ya Jamii Kipunguni .
Hapa wanajifunza kutengeneza mkaa mbadala kwa njia rahisi
Baadhi ya Wanawake Wajasiliamali Kata ya Kipunguni wamewawezesha fedha kwa ajili ya kampeni Wagombea Wanawake kutoka vyama mbalimbali walioshinda kura za maoni.
Utaratibu wa kukusanya fedha hizi ulianza Tarehe1 June hadi tarehe 1 November