Mungu Akaibariki Jumapilia Yako, Tujifunze Kumtegemea Yeye Katika Kila Jalibu Tulipitialo, Kwani Yeye Ni Mkuu Zaidi Ya Majalibu Hayo, Naenda Kanisani Kuwaombea Wahitaji Wote! Kujiombea Mimi Pia Na Familia Yangu, Ndugu Jamaa Na Jirani Zangu 🙏🏻.
Corona BONGO Ni Kama Utani Tu Yani! Ukiangalia Nchi Za Wenzetu Wanalichukulia Jambo HiLi Kwa Ukubwa Sana! lLa Sisi Wabongo Tunaona Kama Film Tu Ya Mapenzi Hivi Duh!.
Unapigia demu Cm Mara Mbili Hapokei, Unaanza Kupiga Ikiita Mara Moja Unakata, Unafanya Hivyo Mara 50 Kisha Unamtumia Msg 30 , AKIJA Kushika Cm Anaona Missedcall 50 Na Msg 30, Akija Kukutafuta Na Wew Hupokei Cm Yake Unajifanya Umekasilika, Mapenzi Bwanaa!.😂