Najifunzia wapi automations?
Automations unaweza jifunza Youtube ama kwa kufollow watu wanaofanya kazi za automations kupitia X.
Baadhi ya tools kama Make, Asana na zinginezo wana portal za bure za kujifunzia automations na wanakupa certificates bure kabisa.
Uzi✅
NB: Ukimaster Make, Zapier na N8N automation, una haki ya kujiita Workflow automation specialist.Skill hii ni rahisi sana kukupa mteja.
Una swali lolote kuhusu skill hii? niulize hapo chini nami nitakujibu hapo hapo.
Najifunzia wapi automations?
Automations unaweza jifunza Youtube ama kwa kufollow watu wanaofanya kazi za automations kupitia X.
Baadhi ya tools kama Make, Asana na zinginezo wana portal za bure za kujifunzia automations na wanakupa certificates bure kabisa.
Uzi✅
#TajiriLaKihaya
Hebu ita manzi yako…
Muombe unataka ku Request Bolt kutumia simu yake…
Then angalia BOLT history yake🤣😅😂
Hizo hotel alizoenda hata wewe mwenyewe unaweza kufa haujawahi kanyaga hata getini😅😂