Natafta mschana wa kazi juu wdym siku izi nachoka ata kuosha vyombo zangu 😂😂naingia makejani na formula buana ndo nisichafue nachoka kupanga nguo siku izi ata nakula nje ndo nisichafue vyombo😂when did we reach here as a nation😂mniombee sana
Unemployment is slowly draining me mentally and financially. Waking up every day knowing I can work and I’m willing to work but still finding nothing is exhausting. I’m tired of it’ll work out.I just want a damn opportunity. Who’s hiring amongst you mandugu zangu wakenya😂😂