@therealsemsii sema hawa watu wanakuaga hawana kabisa sehemu ya kuweka hizo pesa?
kwa vyeo vyao si wanaweza kuweka 800m kwenye account hata kila baada ya wiki 3?
wabongo wengi wanaogopa kuanzisha mji kwenye mikoa ya watu. ndomaana utakuta mtu kajenga dar ila anaomba akifa akazikwe mkoani kwao
hivohivo hiyo ndo sababu watu wanajenga vijijini kwao ilhali hakuna hata mtoto wao atakaeenda kukaa huko zaidi ya kwenda kusalimia tu babu na bibi
ujue hii post nilivoanza kuisoma asubuhi nikaona mtu anaandika ngonjera za yuda sikuimalizia.
mpaka sahizi hapa ndo naona uko mwishoni kumbe kamkaribisha chadema๐คฃ
huwenda @awarenesskills akawa ni mwanasiasa mzuri kuliko Lema..
๐๐ฎ
Nani ajuaye? Labda Yuda hakuwa na nia mbaya sana dhidi ya Yesu. Huenda alifikiri anawapiga changa la macho Wayahudi. Alijua Yesu ni mtu wa miujiza, mwenye uwezo wa kujinasua katika hali yoyote. Pengine aliamini atachukua vipande vyake 30 vya fedha, huku Yesu akiwashangaza tena waliokuja kumkamata.
Anyway , CCM haipo tena. TUBU na karibu CHADEMA. Umetukanwa sana. Dhihaka hiyo hapaswi kufanyiwa hata Mwenyekiti wa TAWI.
@iboysean kuishi kifalme dom kwa mishe yake kuu anayoifanya...haiwezekani.
hata ukiongeza na endorsement alizo nazo bado haitoshi.
njia pekee ni kuuza unga
au kuwa dalali wa mashoga na wanawake (wa mjini) kwa madon wa dodina
hiyo ndio, inaweza kumfanya aishi kifalme.
Hata mimi mwanzoni sikumalizia kusoma nilijua ni zile zile za kurusha jiwe gizani,baadae nilipomalizia kusoma baada ya kuiona post mara mbili tatu,nikastaajabu๐,watanzania adui yao sio ccm,ni wanasiasa wanaowaamini! Maana wao wako kimaslahi kila wakati
Mwaka 2019 nilikuwa nacheza academy moja hivi hapo morogoro sasa ikatokea fursa ya kwenye kufanyiwa majaribio chamanzi na alikuwa anahitajika mtu mmoja tu na kwenye team yetu tulipelekwa team nzima kuna mwanangu anaitwa kelvin peke yake ndo alichaguliwa safari ilikuwa ni misri