Kuna wale huwa mnaita master bettors alafu kuna @hotleaknewz KES 10, games 5 na hivyo ndio aliamka KES 1,761,760 richer🤯
Kwa wale wamejaa diyem wakikuomba za kabej, we have 10 shopping vouchers za 2K each for you to share na mbogi pia wapate nguvu ya kuchambua🥳