Valley Road itakua ni sherehe. Unavaa slippers zako za Umoja rubber, unaslide moja kwa moja. Hiyo ukuta ya hapo Integrity Center ndio itakusimamisha ikishachukua front teeth kama tax. Unaamka ukisema, "Thithi ndio Thifuna."
Friends of Croatia since Rahab the prostitute hid two Israelite spies in the Old Testament tumeketi kitako constantly checking the time tusije tukapitwa na mchuano ambao utarudisha homelander katika kisiwa cha Madeira