Tupo New Mwenge Plaza upande wa Geti la kutokea Mwenge Stand. intertnet ya Vodacom bei kitonga kuanzia 70,000 na router za jumla zinapatikana. karibu tuyajenge 0725000100
Peruzi kimpango wako, iwe kwa portable, universal router au branded. Unarouter yako? Usijali unapata kuanzia 10Mbps hadi 350Mbps kadiri ya uwezo wa kifaa chako, mfuko wako na mahitaji yako
Furahia kasi ya 5G Ofisini au nyumbani. Iwe kustream, kucheza game, online meeting, au kufanya kazi kwenye vifaa vingi kwa wakati mmoja. Tupigie 0745015421
Tupo Mwenge Dar es Salaam
Iwe 4G au 5G, iwe una router yako au unanunua kwetu Mjengoni kwako Panashika. Furahia intaneti bila kikomo (Unlimited) ya uhakika nyumbani na ofisini. Piga 0745 015 421 kuhudumiwa Popote ulipo. Tupo Mwenge Kituo cha Daladala cha kuelekea Tegeta. Karibu sana
Furahia Intaneti ya uhakika nyumbani na ofisini isiyokata mwezi mzima hata utumiaje. Ukiwa na router yako unanunua kwetu speed pekee na kama huna router basi utanunua kwetu router pamoja na plan ya mwezi kadiri ya mahitaji yako. tupigie 0745015421 kujua zaidi