Nadhan kabla ya ile amri ya usizini zilitakiwa ziwepo amri nyingine za kusisitiza , mfano ,usiende chumbani na mwanamke ambaye ujamuoa! Usivue, na nyimgne zipi?!π
@Getrude_mollel Wamekaa miaka mingap eneo hilo na hao wanyama wakali, unataka kumanisha hao watu maelefu wanaogoma kuondoka uko ww mmoja unawazidi akili, acha kujipendekeza kwa haki za watu!
@HakiElimu Kwa kutumia lugha ya Kiswahili Kama lugha ya kufundishia kunawajengea uwezo mpana wa wanafunzi kuelewa na kupambanua mambo na si kumezeshwa kila kitu kwa lugha za kigeni, ngumu kueleweka.