Shule ya msingi kidumu ufagio kuna ule mchezo wa kuchezesha njiti za fagio unauliza ngapi?, akipata anachukua zote akikosa anakupa wewe idadi ya njiti alizotaja😃
Kuna kale katabia, mnapokuwa form 6 boarding school, anakuja jamaa ambaye alimaliza form 6 hapo, anaanza kiwahadithia stori za jeshi na anaongezea na stori za application za vyuo, mnaanza kumuona maisha ameshatoboa🤣