@JabirSaleh Oya hii mama hivi tayari uhakika au bado inaleta masokolo mageni tumwambie Nature amtungie nyimbo kwamba aya sasa umeghairi aende kwa huyo huyo CHAPO
@Penaltytaker12 Mtu bado hajapata team anafanya rotation kwa sababu anatafuta team si mlisema team inajengwa sasa si lazima abadilishe badilishe wachezaji kutafuta team? Team yeyote ambayo inajengwa lazima itumie wachezaji wengi hadi ipate ile first eleven yake