Mimi Nimetoka Facebook jana, napata accounts kama kumi posted my videos. Lakini sasa nikipost from my account mnaniambia nipeleke upuzi clock app na niweke rasa hapa!! Kwani hapa mambo hufanywa aje?
Walishanipika loong before nitoke faceless. Nilikuwa napita comment section za watu wamepost videos zangu napata watu wanasema content yangu inabamba lower lower class na vienyeji wenzangu.๐mimi nimeona mengi hii X
Ati hawataki kujua! Bora tu umeingia Zillow kutafuta houses for sale! Woooooo. Itโs bad. Naulizia tu na watu walijaribia na haikuivana bado wanabebwa?