Mchekeshaji aliyegeuka kuwa mwanaharakati wa kisiasa Eric Omondi sasa anasema amewasilisha ombi la kumtaka Rais William Ruto apunguze pakubwa idadi ya safari anazofanya katika kila mwaka wa kifedha kwa gharama ya walipa ushuru.
#thetip#thetipupdate
Mvumbuzi kutoka Ghana 🇬🇭, Danny Manu ametengeneza vifaa vya masikioni visivyotumia waya, vinavyoweza kutafsiri kiotomatiki zaidi ya lugha 40.
Maoni yako kuhusu hili...
#thetip#thetipupdate
#thetip | MOTO ULIOWASHWA 1964 HIROSHIMA,JAPAN HAUJAZIMWA HADI LEO
Subscribe YoutTube Now For More Info
Powered by @magai_herbal_products
#thetip#hiroshimamemorialpark#japan
Mchungaji wa Nigeria Anayeuza Funguo za Mbinguni, Adai Mungu Alimpa Funguo Moja kwa Moja
Mchungaji wa Nigeria alizua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya watu wakizungumza baada ya kutangaza kuwa anauza funguo kutoka mbinguni.
“Ninajivunia ukoo wangu wa Igboland wa Nigeria. Nina damu ya Kinigeria inayotiririka kwenye mishipa yangu. Ninatoka jamii ya Nkwerre katika Jimbo la Imo, ndiyo maana ninatembelea Nigeria mara tatu kila mwaka. Nigeria ni nyumbani kwangu na Afrika mzizi wangu”. Whitaker .
#thetip
Mchekeshaji kutokea nchini Afrika Kusini Trevor Noah (39) Ajaza O2 Arena yenye uwezo wa kubeba 20,000 huko London, Uingereza kwa siku tatu.
Yeye ni Mwafrika wa kwanza kuuza O2 Arena mara sita.
Sponsored by @magai_herbal_products
#thetip#trevornoah#o2arena#london
Mkataba wa Michael Jordan wa NBA ulijumuisha kifungu cha “For the Love of the Game” ambacho kilimruhusu kucheza mpira wa kikapu wakati wowote, mahala popote, kwa sababu yoyote.
Sponsored by @Magaiherbal
Kulingana na wizara ya afya na ustawi, Hadi kufikia Septemba 2022, karibu wanaume elfu 10 na wanawake elfu 80 nchini Japani walikuwa na umri wa miaka 100 na zaidi.
Jumla ya watu waliotimiza umri wa miaka mia moja katika mwaka huo iliongezeka hadi takriban elfu 90.5 nchini
#tip
Filamu ya Titanic iliyoachiwa rasmi mnamo mwaka 1997 ambayo bajeti yake ilikuwa dola za kimarekani milioni 200. Ilikuwa filamu ya kwanza kutengeneza zaidi ya dola bilioni 1.
Avatar ilikuwa filamu ya pili kutengeneza kiasi hicho cha pesa na bajeti yake ilikuwa dola milioni 237.
Kuanzia Januari 1,2024,sheria ya California itazuia waajiri kutumia vipimo vya dawa kupima wafanyakazi kwa utumiaji wa bangi.Gavana wa California Gavin alitia saini sheria mnamo Septemba 18, 2022, inayokataza waajiri dhidi ya kubagua mfanyakazi kwa msingi wa matumizi ya bangi
Mnamo 2009, Chuo Kikuu cha Montreal nchini Canada kililazimika kuachana na utafiti wa kuchambua tofauti kati ya wanaume wanaotazama ponografia na wanaume ambao hawajawahi kutazama ponografia.
Kwa sababu hawakuweza kupata wanaume ambao hawajawahi kutazama ponografia.
#thetip
Mnamo 1990, mwanajiolojia wa Italia Angelo Pitoni alinunua mawe ya ajabu ya bluu kutoka kwa Chifu wa Fula huko Sierra Leone Afrika Magharibi. Kabila hilo lilidai kuwa mawe hayo yaliletwa na wageni kutoka angani.
#thetip#sierraleone#italia