Mradi wa nyumba za PSSSF Arusha umeendelea kuwa gumzo, ukivutia hisia za wengi kutokana na ubora wake wa hali ya juu. Machi 25, 2025, Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilitembelea mradi huo na kutoa pongezi za dhati kwa ubunifu na uwekezaji mkubwa uliofanyika.
Miaka minne ya Rais Samiaโฆ
Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa umoja, mshikamano na maendeleo. Tunakushukuru Dkt. @SuluhuSamia kwa uongozi wako thabiti katika kujenga taifa lenye matumaini na fursa kwa wote.
#JetaiTZ#Tanzania#KaziIendelee#SamiaSuluhu
Pongezi nyingi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan! ๐๐น๐ฟ
Tuzo nyingine ya kimataifa! Global Goalkeeper Award kutoka Gates Foundation, ikitambua mchango wako katika kuharakisha kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
#SamiaSuluhuHassan#GoalkeeperAward#SDGs#AfyaBora
#NUKUU
Uzinduzi wa Programu ya Kuboresha Sekta ya Ualimu.
"Mwalimu Ni Rasilimali Muhimu Inayowezesha Rasilimali Nyengine Kuleta Matokeo Kwenye Sekta Ya Elimu"
Dkt Doto Biteko (MB)
Naib Waziri Mkuu.
Machi 13, 2024
Dar es Salaam.
#JetaiTZ#Tanzania#kaziiendelee#samiasuluhu
Taarifa Mpya Ya UN Ukuaji Uchumi Afrika 2023, Tanzania Nchi Ya Tatu kwenye orodha
Uchumi Wake Kukua Kwa Asilimia 5.6 - 2023
Matokeo Ya Sera Nzuri Za Uchumi, Fedha Na Biashara Za Raisi Samia Suluhu Hassan
#jetai_tz#JengaTanzaniaImara#samiasuluhuhassan#kaziiendelee