Nyingine tena
Solidarity
Hii kazi inayofanywa na Chadema hakika imetukuka.
Tutafika siku moja, Iko Siku wataelewa na wataheshimu nafasi ya Wananchi.
Hongera sana Chadema..!
@420Cousin Kumbe unatakiwa kusema!?? Mi nilidhani Mwanaume anatakiwa kutoka na sio kusema. Wanaume tujitafakari kama imefikia hatua tunatakiwa kusema na sio kutenda, Tazama hii, Tuko pabaya, “Let’s hold somewhere and reflect on the old days, on how men used to be🙏🏼
🩸 Mama Mkorofi
Walimwita mama,
lakini sauti yake haikusikia watoto.
Walimpa taulo la amani,
akaitumia kufunika midomo ya watu.
Alipanda jukwaani kama malaika,
lakini akashuka akiwa na jicho la chuma.
Kila kilio kikaanza kuwa kosa,
na kila ukimya ukawa utii.
Berlin iliwahi kuona kama hivi,
wakati mtu mmoja aliamua kuwa Mungu.
Leo Zanzibar inalia kimya,
Dar inacheka kwa hofu.
“Mama mkorofi,” wanasema mitaani,
lakini hawasemi kwa sauti,
kwa maana upepo wa hofu unapuliza
kutoka Ikulu hadi Instagram.
Hata nyota wa muziki wananyamaza,
hawaimbi tena mapenzi, bali woga.
Na wale wanaoandika ukweli,
wanaandika kwa vidole vilivyo na mtetemeko.
Lakini historia haijawahi kulala,
ina macho ya usiku.
Na siku moja, kama Berlin,
ukuta wa ukimya utaanguka.
Kwa sasa, mama amekasirika
lakini watoto wake wanakumbuka...
Hakuna mama anayeweza kupiga dunia yote bakora.
Gramps Morgan Said “If you lay down your life for love so someone can be saved, There’s place for people like you”
Nyakati ni ngumu sana, Ila Mko hapo si kwa ajili yenu bali kizazi kinachokuja. There’s definitely a place up there for kind souls like you. 🙏🏼
@jaliluzaid Nimejaribu kukuelewa, Lakini najiuliza any of your bloodline kapotea. Hujui haliko, Jicho lako litaona uchumi, Au sababu yanatokea sio yanayotugusa moja kwa moja.