Kijana mwenzangu haswa wa kiume, Depression ni hatari sana, ukiwa na magumu yanayo kusibu tafuta mtu wa karibu zungumza, yatoe, Ukihisi kulia my good friend lia, hii ni tiba. Yakiwa makubwa zaidi Muhimbili unaweza pata tiba. Wengi wanakwenda kwa hii sababu.
Maybe in another life I wouldn't have to be this mentally drained all because I'm chasing a better life...for now I don't really care how I feel, I'm literally scared of dying broke than dying young