Ukihitaji tukufanyie jambo lako tutakufanyia.
Nitumeni tu nitatekeleza, ndio kazi inayoniweka mjini.Unae wa kum surprise? Nipe maelekezo tumfanyie nini?
14th February 26"
Brake Point Makumbusho
Dinner, Mapenzi na Muziki
#Valentines2026#Lady Jay DeeAndTheBand
#LiveBandMusic
@adili_255 Mbona huwa hauvizii muda ambao nipo hayo maeneo mpendwa. December yote nimezururaaa na January karibia nusu. Kweli aso bahati habahatiki 🤣🤣.
Usiku wa leo nikiwa katikati ya usingizi mzito nimejikuta nimemuota dada yangu kipenzi @JideJaydee huku ule wimbo wake ft Oliver Mtukudzi ukijiimbisha akilini mwangu📌
I am I am ulitaka niwe nini💥I miss you @JideJaydee unajua sana ase.