Nimekutana na wanakijiji wilaya ya simanjiro jamii ya wamaasai ambapo hutumia tetracycline kama dawa ya kuwatibu mifugo yao ambapo hata ukimuambiya hii ni dawa ya kitu fulani anakataa na kudai ni ya mifugo.
Na kuna wengine hudanganyana diclopar hutibu kifua ambayo si
Siku moja nilienda kwa richie aunt mmoja bhn kumbe wenzang usiku hawali ugali I mean msosi wa maana ety wanakula popcorn na maji ya uvugu vugu unalala mbula usiku niliota nimekufa๐๐
Usipoteze muda kumfanya ambaye hakupendi akupende, ila poteza muda kumfanya anaekupenda kukupenda zaidi. Ukishidwa kabisa kudhibiti hisia zako, sio rahisi tena kutawala budget yako.
Finally, h. pylori gone...heligo kit is no more but Doxycline became game changer...don't misuse it.
Final CULPIT for H.pylori.
Quadruple therapy is ๐ฏ๐ฏ๐ฃ๐ฃ
@HamisiMsagama
Njia nzuri ya kuijenga kesho BORA ya watoto wako, ni kujenga hamu kwa watoto kuwa karibu na wazazi wao.
Ewe baba, nakushauri siku unayoshinda nyumbani cheza na mtoto wako, kama ni mpira, kurukaruka, kujificha n.k
Hii itamsaidia mwanao kujenga BOND nawe. Hata akifanyiwa ๐๐พ
WENGI wanaweza KUIGA unachofanya, ila hawawezi kuiga MVUTO unaowafanya watu wapende unachokifanya. MVUTO huanzia ndani ya MOYO na hutokana na NIA NJEMA iliyojificha ndani na MAKUSUDI ya MUNGU juu ya HATIMA ya MTU HUYO. Usikasirike watu wanapokuiga, Kuna MSTARI HAWATAWEZA KUVUKA.
Viagra is usually taken only when needed 30mins to 1 hr before sexual activity.
You may take it up to 4hours before sexual activity.
During s.activity if you become dizzy or nausated or have pain, numbness or tingling in your chest, arms neck stop and cal doc
VIAGRA
Is a relaxes muscles found in the walls of blood vessels and increases blood flow to particular area.
Used to treat erectile dsyfunction(impotence) in men and treat pulmonary arterial hypertension and improve exercise capacity in men and women
WACHAGGA WALITAKA KUUNDA NCHI YAO (CHAGGA ESTATE) MWL. NYERERE AKAWAOMBA WASIFANYE HIVYO.
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi.
Wakati upo busy unapigana kufa kupona kupambana na maisha yako, kuna watu wapo busy wanapigana kufa kupona kupambana na maisha yako kuhakikisha unaanguka
Kuna faraja ambayo huwa tunapeana sana, lakini mchakato wake kiuhalisia hatuufikirii.
Utasikia.. "Wewe ni Dhahabu, ili ung'ae lazima upite kwenye moto"
Sasa ni lazima utambue namna dhahabu inavyopitia kwenye moto inakuwaje.
Twende pamoja sasa!
Watu wengi waliowahi KUKATALIWA na watu wao muhimu huko NYUMA (Mzazi/Mpenzi/Ofisini n.k) huwa wanapata shida KUJIKUBALI na pia huwa WANAHITAJI uwathibitishie mara kwa mara kuwa UNAWAPENDA, unahitaji kutumia NGUVU kubwa ili WARIDHIKE na UPENDO WAKO.
Leo nikiwa njiani kuelekea ofisini, maeneo ya Derm plaza Makumbusho nilikuta dakika kama 5 zilizopita mtu alikuwa amejirusha kutoka ghorofani.
Niliangalia kwa mbali nikasikia uchungu mkuu moyoni, kisha nikaendelea na safari yangu.
Nikiwa naendelea kutafakari mengi, nikamkumbuka