"Ukatili dhidi ya wanawake, wasichana na watoto ni uhalifu. Si suala linaloikumba Tanzania pekee bali ulimwengu mzima. Jukumu la kushirikiana kukomesha vitendo vya namna hii ni letu" ~ @jingujk - Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya @maendeleoyajami#MabadilikoYanaanzaNaMimi
MAAFISA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII WAKUTANA DAR:
Maafisa wa @maendeleoyajami wamekutana leo jijini Dar ili kujadiliana juu ya mikakati ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19).
#CoronaVirus#Corona#AzamNews
Aliyoyazungumza Katibu Mkuu Idara Kuu ya @maendeleoyajami Dkt. @jingujk wakati akifungua mafunzo kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii an Ustawi wa Jamii kutoka Kata za Mkoa wa Dar as Salaam. @umwalimu @DocFaustine
Nawapongeza wanachama na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa chama chetu kutimiza miaka 43 tangu kuzaliwa. Tunaposherehekea siku hii muhimu kwa kazi tuendeleze misingi ya chama chetu, tusimamie utekelezaji wa Ilani na tudumishe amani, upendo na mshikamano.
CCM HOYEE!
#MahafaliyatisaTengeru Katibu Mkuu Idara Kuu @maendeleoyajami Dkt. @jingujk amewataka wahitimu kuitumia elimu walioipata kuwa nyenzo, zana na funguo ya fursa mbalimbali katika kukabiliana na changamoto za kimaisha ili kutumia utaalamu wao kupata majawabu ya changamoto hizo
Chuma hichoo! Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukusimamia rais wetu mpendwa Dkt @MagufuliJP . Tunakupenda na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu kila lililo jema rais wetu.
Congratulations to Your Excellency President Xi Jinping and the people of China on commemoration of the 70th anniversary of your great Nation. On this occasion, I pledge to further enhance our historic, friendly and fraternal ties.
祝贺习近平主席!祝贺全体中国人民!
China Hoyee!
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii Dkt.John Jingu amevitaka vyuo vya Maendeleo nchini kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuvitaka kuzalisha wataalam watakaoweza kujiajiri lakini pia kuleta mabadiliko katika Jamii inayozungaka vyuo ili Jamii ione umuhimu wa kuwepo kwa vyuo hivyo.
Imeelezwa kuwa uanzishwaji wa vikundi vya malezi kwa familia itasidia kwa kiasi kikubwa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika familia hasa kwa watoto vinavyoendelea kushamiri kila kukicha.
Awali CCBRT na PSI zilisajiliwa na RITA, usimamizi wao kwa sasa utakuwa chini ya sheria ya NGOs inayosimamiwa na Wizara ya Afya. Shughuli za taasisi zinaendelea kama kawaida.
Niwaombe watanzania kujenga utamaduni wa kupata ufafanuzi badala ya kusambaza taarifa za upotoshaji.
Kuna mijadala inayoendelea kwenye mitandao kuhusu kufutwa kwa taasisi za CCBRT na PSI. Ukweli ni kwamba Serikali haijasitisha shughuli za taasisi hizi. Kinachoendelea ni kuhuisha usajili wa taasisi mbalimbali ili kuendana na mabadiliko ya sheria za BRELA, RITA, SOCITIES na NGOs.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi UN WOMEN Bibi Hodan Addou amempongeza na kumshukuru kwa kuimarisha Ulinzi wa Masoko kwa kuzuwia Utumikishaji Wanawake na Watoto Masokoni.
Wizara ya @wizara_afyatz Idara @maendeleoyajami chini ya uratibu wa Kamishna wa Ustawi wa Jamii imeunda timu maalum ya wataalam wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii kwa ajili ya kutoa huduma ya msaada wa Kisaikolojia na Kijamii kwa wahanga wa janga la moto mkoani Morogoro.
Uongozi na wafanyakazi wa Idara Kuu ya @maendeleoyajami tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kutokana na vifo vya watanzania wenzetu vilivyotokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro. #RIPnduguzetu @umwalimu @DocFaustine@wizara_afyatz
Katibu Mkuu @maendeleoyajami Dkt. John Jingu akishuhudia wadau wa Mashirika Yasizo ya Kiserikali wakipata huduma ya usajili wa mashirika yao katika zoezi la usajili wa mashirika hayo linaloendelea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa, Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Tunawashukuru wadau wa Mashirka Yasiyo ya Kiserikali kwa kuridhika na huduma zetu tunaendelea na zoezi hili kwa Kanda ya Masharika katika Ofisi za Wizara ya Afya mpaka tarehe Julai 19. @BoniventuraG
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amesema vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake havivumiliki hivyo lazima ziwepo jitihada kubwa za kumpambana ili kuhakikisha tunatokomeza vitendo hivyo .