#OnThisDay in 2β£0β£1β£9β£ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly πΉπΏ
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends β€οΈπ€
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE π€
β οΈ Tafadhali simama sekunde 30 hii ni muhimu sana
Huyu ni @adamdamsohnnsekule Tangu 2018 anaishi na spinal cord injury. Maisha yake ni mapambano ya kila siku lakini tuna nafasi ya kumbadilishia kabisa.
π¨ LENGO KUU: Tsh 10,000,000
Makadirio ya mahitaji yake ni:
πΊ Bajaji (kipato cha kudumu) ~7,000,000
π₯ Matibabu & dressing ya vidonda ~1,200,000
π Chakula ~1,000,000
π Kodi,umeme,maji ~800,000
π Tayari amepata msaada wa pampers za miezi 5 tunashukuru wote walioguswa na kusaidia.
Hii si msaada wa muda mfupi ni kumrudisha kwenye maisha ya kujitegemea.
Fikiria hivi:
Watu 1,000 tu wakitoa Tsh 10,000β tunafikisha lengo
Au watu 500 wakitoa Tsh 20,000
Inawezekana kabisa tukiamua.
π M-Pesa: 0760749231 Adam Nsekule
π¦ CRDB: 0152709244900 Adam Nsekule
Ukichangia, sema DONE ili kuhamasisha wengine
Huwezi kuchangia? SHARE inaweza kumfikia mtu sahihi
Usipite kimya kimya π
@zayedbakhresa@EceJay@babalao__@fbuyobe@Sativa255@HildaNewton21@nyuki_malkia@kalage_jr @MkulimaKante @LarryMadowo@MariaSTsehai@HecheJohn@deohaule27@Dr_DGwajima@ummymwalimu@Eng_Matarra@pastajoshuatz@Thereal_taivina@Sativa255@Big0047@ExMayorUbungo@Twaha_Mwaipaya
#fypγ·γ #doktamathew #highlights