Sioni wafanyacho huko nje.
Angalia Balozi wa China hapa Bongo alivyo active...hadi mkandarasi wa Kichina akijenga Choo anaposti.
Ana brand kampuni za kichina....
#SiasaZetu
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
@UpendoGod Ili brand ikue inahitaji uwekezaji kwenye
- Public relations
- Marketing
- Delivery
- Affordability
Na pia ujue Price fixing Ili uendane na uchumi wa wateja
Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 -> Kwa Ajili ya Wengine!
Men,
Dating tip.
Approach her and say,
"My name is......
I find you attractive.
Here is my phone number; call me."
Then leave.
Don't mind if she calls you or not.
Hivi Umewahi Kujiuliza Kwanini FAMILIA Nyingi watu wake Huwa Wanafanana In Terms of Mafanikio?
Ukiachana na Sababu Zingine
Moja ya Sababu Kubwa huwa ni kwamba WATOTO wengi Huwa Tunarudia Kile Walichofanya Wazee.
Ukitaka Kubadili Hali ya Kwenu USIRUDIE Walichofanya Wazee wako!
Mama yako amekubena tumboni mwake miezi 9.
Akakubadilisha nepi pale ulipojikojolea au kukata gogo na kukuogesha..
Haitoshi pamoja na saizi umeshakua mtu mzima, bado anakukumbuka kwenye maombi.
Hii maana yake ni kwamba hakuna mwanamke anayeweza kukupenda kama Mama yako.
Nina uhakika kwa asilimia 99% kuwa watu wengi wanajua tafsiri ya "Money Laundering" ni "Utakatishaji wa Fedha" lakini kiuhalisia tafsiri sahihi ni "Utakasishaji wa Fedha"
Fedha haramu inatakasishwa na sio kutakatishwa. ZINGATIA!