@RastaZizi254 Ni maneno magumu lkn ndio ukweli tena linalimwa nakuwekwa mbolea na mbegu za ruzuku moja kwa Moja๐๐ Tena ukute ruzuku alinunua kwa 3k 5k au 10k duu
@chapanombombwi Sio poa lakin hawawez kutazama ili mfano
1.Heka moja kulima 60k adi 80k based on location
2.mbegu mifuko 4_5 X16k adi 20k
3.palizi 30k adi 50k
4.mbolea maximum at least mifuko 3 Kuna 51kSA,, 64k na, 72k
5. Dawa wadudu
6.wafanya kazi kupanda ,kuvuna
7.kupiga kusafisha ๐๐๐
@chapanombombwi@chapanombombwi chaka kunachosha mkuu unakomaa at the end unakuja kuuza mahind kg 1 kwa shilling 300 au 400 unatarajia lini huyu mkulima atakuja kupata matunda ya jasho lake??
@chapanombombwi Kibaya zaidi Wanao teseka kulima hawapati faida anae kuja kupata faida vigogo duu nilitegemea mkulima wa zao la mahindi atajirike Sana lkn hela akipata inarudi yote shamban duu๐ญ๐ญ kwann kusiwe na bei nzuri mfano kg ifike japo 800 au 1000 at least mkulima apate chochote