@Iamfelixtz Kwani malengo ya Singida BS si ni kusalia ligi kuu na kuifunga Simba Sc tu? Sasa malengo yao hayo wameshashindwa ndio wawakate mshahara kwani??
@PMadeleka Kwanza hajamtongoza Mkuu wa Mkoa bali kamtongoza Paul Chacha na ana haki ya kupenda. Na Paul Chacha mwenyewe sio mwanafumzi wala sio mtoto mdogo