Reflecting - it's been an tough week for my beloved country pipo, but even more sad that it's meant to feel like we are skipping a song in a compilation album to hope we get to a hit song later.. or maybe never. GOD.
Tanzanians with family in Europe or the USA, try out NALA to save money!
USD to TZS today: October 16th 2025 as of 11pm EST:
How much does a Tanzanian receive for $1000?
1. NALA: 2,414,809 TZS
2. Remitly: 2,403,690 TZS
3. World Remit: 2,400,156 TZS
4. Sendwave: 2,391,202 TZS
5. Western Union: 2,376,394 TZS + $3.99 fee
Tanzanians, send this to your relatives abroad, I would love to hear their feedback 🙏🏽
Use the code: BENJAMIN for a bonus 🩵
Link to app below ⬇️
Huwa inanitokea mara kwa mara yani baada ya kuoga nawashwa mwili mzima hadi najuta kuoga
Ningekuwa mwanaume ningekuwa nanawa au kujipangusa tu sio siri
Sasa udogoni mama amewahi nipeleka zahanati tukaambiwa aleji hivo niangalie ninavyokula jamani hata nibadilishe chakula ikisikia mwili kuwasha utawasha tu (sitokei vipele)
Sasa leo nimetoka kuoga aloo nimewashwa nimekaza nisijikune nimerukaruka wapi nimejikuna hadi nikawa mwekundu
Nikasema huwenda naumwa sijui basi nimeingia google aloo sahivi nina hofu kwa majibu niloona hata kabla sijafika hospital🥹
Salaam ndg zangu naomba nitumie nafasi hii kuwapa Taarifa fupi, Msimu 22/23 kama Taifa tulizalisha mahindi zaidi ya Tani 8.1m na mahitaji yetu ni Tani zisizo zidi Tani 6m na kwa muda mrefu Trade patten yetu imekua ni kuelekea Kenya,Congo,Rwanda.