Karibu JME! | Ni wauzaji wa bidhaa za Ngozi halisi kama vile Viatu vya Shule, Ofisini, Harusi nk | FB, TikTok & IG @jmebrands | 📸#jmebrands | WhatsApp 👇👇
Karibu sana ujipatie Viatu vya Ngozi vilivyotengenezwa hapa nchini Wajasiriamali wa Kitanzania vikiwa na ubora pamoja na muonekano mzuri na utakaokufanya upendeze Ofisini, Safarini nk. Bei ni rafiki, karibuni sana! Cc @MwanaFA @OmmyDimpoz @IdrisSultan@Salym@harmonize_tz 🙌🇹🇿
Haujachelewa bado! Karibu sana Dukani kwetu 📍 Kunduchi-Mtongani jijini Dar es Salaam tukupatie Viatu vizuri na imara vya Shule vya Mtoto wako ambavyo ni Ngozi halisi vyenye muonekano mzuri na vinavyodumu kwa muda mrefu. #jmebrands#fypジ#viral#madeintanzania🇹🇿 #backtoschool
Shule zimefungua tayari! School 🎒🏫.
Je, umeshamnunulia Mtoto wako Viatu vyake vya Shule? Kama bado basi haujachelewa!
Tunavyo Viatu vizuri na imara vya Shule vya Mtoto wako ambavyo ni Ngozi halisi na vyenye muonekano mzuri vinavyodumu kwa muda mrefu na kumpendezesha Mtoto wako.
Unahitaji Viatu vya Shule vya Mtoto wako? Kama jibu ni ndio! Basio ondoa Shaka kabisa! JMEBrand tuna Viatu vya Shule vya Ngozi halisi vya aina mbalimbali vyenye viwango vya hali ya juu na muonekano mzuri na vinavyodumu kwa muda mrefu.
Karibu sana ujipatie Viatu imara vya Shule.
Jionee utengenezaji wa Viatu vya Ngozi hapa JMEBrand vikiwa kwenye hatua za umakiziaji kabla ya kuwekwa Soli. Viatu vyetu tunazalisha wenyewe hapa nchini Tanzania 🇹🇿 vikiwa ni Ngozi halisi 100%. #jmebrands#madeintanzania🇹🇿 #viralvideo#trendingvideo#viralpost
Unahitaji Viatu vya Shule vya Mtoto wako na uko mbali na Dukani kwetu? 🤔🤷
Usijari! 😄🤝. Wasiliana nasi sasa @jmebrands tukupatie Viatu vizuri na imara vya Shule ambavyo vitampendezesha Mtoto wako Shuleni wakati wote na vinavyodumu kwa muda. #jmebrands#madeintanzania🇹🇿 #viral
Kutoka @jmebrands hadi hapo ulipo ndugu Mteja wetu!
Hakikisha Mtoto wako anapata Viatu vyake vya Shule mapema kabla ya Shule kufungua Ili kuepuka msongamano na usumbufu unaoweza kujitokeza dakika za mwisho wakati Shule zinakaribia kufungua. #jmebrands#madeintanzania🇹🇿 #ijumaa
Heri ya Mwezi Mpya wa #July kwenu ndugu Wateja wetu wote kutoka #jmebrands . Sapoti yenu kwetu inatupa nguvu ya kufanya Kazi nzuri yenye ubora na thamani ya viwango vya hali ya juu. #madeintanzania🇹🇿
Mpatie Mtoto wako FURAHA ambayo inaamsha upya hali yake ya kutaka kujifunza kwa kumpatia Viatu vizuri na imara vya Shule ambavyo ni Ngozi halisi vyenye ubora, muonekano mzuri, uimara na kudumu kwa muda mrefu.
Kila hatua ya Mtoto wako inaanza na muongozo mzuri ambao Mzazi au Mlezi umempatia.
Mpatie Mtoto wako Viatu vizuri na imara vya Shule vya Ngozi halisi vyenye ubora, uimara na muonekano mzuri utakao mpendezesha Mtoto wako Shuleni wakati wote. #jmebrands#madeintanzania#july
Je, unajua namna ya kung'alisha Viatu vya Shule vya Mtoto wako? Soma hatua kwa hatua namna nzuri ya kuandaa na kung'alisha Viatu vya Shule vya Mtoto wako.👇👇. #jmebrands#elimuyautunzajiviatu#madsintanzania🇹🇿
Wazazi na Walezi wenzio wote wamechagua Viatu vya Shule Chapa JMEBrand ambavyo ni Ngozi halisi. Vyenye Ubora, muonekano mzuri na vinavyodumu kwa muda mrefu na kumpa furaha Mtoto wako wakati wote awapo Shuleni.
Viatu ni JMEBrand! #jmebrands#viatuvyashule#madeintanzania🇹🇿
Jipatie Viatu vya Shule vya Ngozi halisi kwa Mtoto wako wa Kiume na wa Kike vyenye muonekano mzuri, uimara, ubora na kudumu kwa muda mrefu na kumpa furaha Mtoto wako Shuleni wakati wote.
#IjumaaSpecial#jmebrands#madeintanzania🇹🇿 #viatuvyashule
Unahitaji kununua Viatu vya Shule vya Mtoto wako? Basi usipime kwa Macho unapohitaji kununua Viatu vya Shule vya Mtoto wako Ili kuepuka Kumbana, Kumpwaya, kumuumiza kwa kumsababishia Usugu nk.
Karibu JMEBRAND tukuhudumie Viatu vizuri na imara vya Shule vya Mtoto wako. #jmebrands