Invest in Zanzibar
Discover Ankaya Village, where health meets happiness on the stunning Paje beachfront. With villas starting at just $100,000, secure your spot in this vibrant community offering private beach access and a holistic wellness experience
https://t.co/mX5PPusnr0
Ungana nasi Jumatatu hii, Agosti 26, 2024 kwenye Mwananchi Space, inayoandaliwa na Mwananchi Communications Limited kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO Tanzania) (@fao ), pamoja na Taasisi ya Lishe na Chakula Tanzania (TFNC) (@tfnctanzania ).
*Wazungumzaji.*
1. Dk Germa Leyna, Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC)
2. Dk Akwilina Mwanri, Mhadhiri Mwandamizi Idara ya Teknolojia ya Chakula, Lishe SUA
3. Peter Msechu, Msanii, mdau masuala ya Lishe
4. Dk Theresia Jumbe, Msimamizi Mkuu Miradi ya Lishe Helen Keller International
5. Prof Francis Furia, Daktari Bingwa wa Figo Muhimbili, Mhadhiri Muhas
6. Herieth Makwetta, Mhariri wa Afya Mwananchi
Mada : *Je, kupunguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi ni kuimarisha afya au kujinyima uhondo?*
Unaweza kushiriki kupitia X (zamani Twitter), na Youtube kupitia Link 👇🏼
X Space
https://t.co/8J9WWDQTJS
Youtube
https://t.co/FDOWZ2LTjW
Kuanzia saa 2 Kamili Usiku.
#mwananchiupdates
#mwananchispaces
#tunaliwezeshataifa
Ungana nasi Jumatatu hii, Agosti 12, 2024 kwenye Mwananchi Space, inayoandaliwa na Mwananchi Communications Limited kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO Tanzania), ( @fao ) pamoja na Taasisi ya Lishe na Chakula Tanzania (TFNC) ( @tfnctanzania ).
Wazungumzaji.
1. Prof. Joyce Kinabo ( @KinaboJoyce ) - Profesa wa Lishe SUA
2. Prof. George M. Msalya - Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania
3. Deborah Esau - Ofisa Lishe Taifa WFT
4. Victoria Marijani ( @VictoriaM1980 ) - Meneja Uchechemuzi na Mawasiliano, Save the Children Tanzania
5. Maria Ngilisho - Ofisa Lishe Mtafiti Mwandamizi TFNC
6. Invencius Melton Mbembati - Mwalimu Mkuu S/M Itipingi Njombe
Mada : Umuhimu wa kuwapa chakula mchanganyiko watoto wa shule.
Unaweza kushiriki kupitia X (zamani Twitter), na Youtube kupitia Link 👇🏼
X Space
https://t.co/BqUXockcXl
Youtube
https://t.co/UT9E5v7mox
Kuanzia saa 2 Kamili Usiku.
#mwananchiupdates
#mwananchispaces
#tunaliwezeshataifa
Mtaalamu wa Lishe kutoka Shirika la Chakula Dunia (FAO), Stella Kimambo amesema miongoni mwa vitu vinavyosababisha watu wasipende kula vyakula jamii ya kunde ni kuongezeka kwa kipato na kuona kama chakula hicho ni cha watu duni.
FAO is hosting a health awareness public dialogue with
@MwananchiNews@Twitter
space,
the symposium aim to provide a better understanding on issues regarding eating habits, overall diet intake lifestyle & the impact on our lifelong and impact to SDGs at large #AGRICONNECT🇪🇺🇹🇿
Daily users of Microsoft Teams:
Oct 2020: 115 million users
Apr 2020: 75 million users
Mar 2020: 44 million users
Nov 2019: 20 million users
Jul 2019: 13 million users
Nov 2016: (launch)