@MariaSTsehai Nilifunga kavu siku 2 na niliomba Mungu ainue Roho ya usaliti ndani CCM,JWTZ ,USALAMA &POLISI.Why?Hawa wanapaswa kupiganishwa Vita wenyewe Kwa wenyewe na wauwane kusafisha njia ya ukombozi. Ijumah nitaenda kutoa sadaka ya shukrani Kwa taarifa hii. Next awe mtoto wa Mhe...?!😂🦗
Ndg Yetu SEKELA JOHNSON GEORGE Mwanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya anauguza mamaake, Mama Yetu, ni Mwaka wa tatu sasa Mama amepooza, Hali Ya Uchumi ni Changamoto
Sekela ni Kiongozi wa BAVICHA Jimbo la Mbeya Mjini.
Kwa Unyenyekevu Tumekuja Kwenu tunaomba Msaada, Apate BIMA itakayo wezesha kupata matibabu na Na Mahitaji Mengine.
Tunaomba Mchango wako utumwe kwa namba ya Simu M-PESA 0797811501 SEKELA JOHNSON GEORGE.
LENGO ni Kupata Tsh. 2,500,000/= (Milioni Mbili na Laki 5)
1. Kwaajili Ya Bima na matibabu ya Ndugu Mama yake.
2. Mtaji Wa Huyu Dada SEKELA Afanye Kashughuli Kumudu Kuhudumia Mama Yake(Familia).
Asanteni na Mungu awabariki Kwa Kuleta Furaha na Tabasamu Tena.
@Sativa255 Kuna huyu anaitwa Bboy Blackmail, Kapita kama drone Shahed 136 ya Iran, Maneno yake ni kuntu, na hasira zake zimeishia kwenye michano. Ameimba verse ya nne, kama sijakosea, nimeirudia verse yake Mara.
I made a template for anyone to manage their finances.
Here is the link:
https://t.co/AKnFks6Yvu
Make sure you fill it out every month.
Remember, what’s not measured can’t be get improved.
Huyu kijana anaitwa Nicodemus Julius Loyore ni miongoni mwa Vijana ambao walifanyakazi kubwa sana kwenye Maamdamano ya Oktoba 29.
Hii video alipost kwenye ukurasa wake wa Tiktok siku ya Oktoba 29 kwa ajili ya kuhamasisha Gen-Z wenzake.
Disemba 19, 2025 Nicodemus alivamiwa ofisini kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na George Bagyemu ambae ni msaidizi wa Mafwele wakamteka kisha wakaondoka nae mpaka sasa hatujui wamempeleka wapi.
Tunatamtaka George Bagyemu na Mafwele watuambie huyu kijana wamempeleka wapi.
Repost 200
#FreeNicodemusLoyore
#TUTAKUWEPO🫵😎
This holiday season 🇺🇸, together with many others, we pushed for the nomination of the well-deserving-and sadly still detained-Tanzanian opposition leader Tundu Lissu 🇹🇿 for the Nobel Peace Prize @NobelPrize. Tundu Lissu’s story will forever be part of Tanzania’s history 🇹🇿.
Today, I felt truly blessed to have the opportunity to treat my son and Lissu sons to an all-boys game night at State Farm Arena-the Atlanta Hawks vs. Miami Heat 🏀⛹️. Our team may have lost, but a mother’s heart won simply by seeing all our boys together. That moment was truly priceless.
I share these images thoughtfully and with care, fully aware that Lissu remains in jail. At the same time, I hold onto the belief that we are doing the best we can, in our own ways, to help spark change and contribute to humanity.
@Sativa255 Wasije mwekea dawa za kulevya kisha wakamfunga au kuumpa kesi ya ubakaji kama Babu seya, ukiona mtu nyakati hizi anasimama kwenye utumishi Wa Haki hadharani, Mheshimu Sana kuliko unavyowaheshimu wazazi wako, ambao hata kukemea uovu wa serikali kwenye vikao vya familia wanaogopa.
Wapendwa nawatakieni Krismas yenye baraka! Hatuna furaha ila hatujakata tamaa maana Mungu wetu ni mwaminifu sana 🙏🏽
Mungu atubariki wapenda haki wote na Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
#D25 to remember
Leo ndo mkesha kusuburia #D25
Tuandae mabango, picha, maji na bendera na tukumbuke hii ni kwa ajili ya ndugu zetu waliouwawa na kwa ajili ya Tanzania mpya na bora
Maandamano bila kikomo maana yake anytime, anywhere and every day!
#SamiaMustGo#J1
UPDATE YA MICHANGO YA CATHERINE NA FAMILIA YAKE.
MPAKA ASUBUHI HII WATANZANIA WAMECHANGA MILLION 10, TUMEVUKA MALENGO MARA 2 KWANI TULILENGA KUKUSANYA TSH. MILLION 5. MUNGU YUPO UPANDE WA WANANCHI, SISI NI WASHINDI.
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
REPOST 300
TUTAKUWEPO🫵😎
BREAKING NEWS
Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
Wanasheria toeni msaada haraka ili kijana huyu awe salama.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
@MariaSTsehai Siku za ukombozi zimefika, na hakuna anayeweza kuzuia. Kupinga ni kupoteza muda, wakati Mungu ameamua kwa Taifa lake. D25 sisimama uhesabiwe.