Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
KuRepost 🔄--> Kwa Ajili ya Wengine!
Ushauri wa kibilionea kutoka kwa bilionea @moodewji .
Na pia kama una bank statements na unatumia app kama @KuzaBusiness kusimamia biashara yako, uwezekano wa kukopesheka bila kuweka collateral unakuwa mkubwa sana.
AFYA YA UUME WAKO: Mwanaume Iili Uume Wako Uwe Na Afya Itakupasa Ufanye Yafuatayo.
1. Kula vyakula vyenye zinc kama pweza, Mayai, karanga, korosho, maziwa, mbegu za mboga, vitunguu swaumu, Tende na Tikiti maji.
2. Kunywa maji mengi angalau lita mbili na nusu mpaka tatu na nusu kwa siku kulingana na kilo zako.
3. Fanya mazoezi, Mazoezi ya Kegel, Mazoezi ya pumzi, mazoezi ya kudhibiti na kutawala hisia.
4. Pumzika kwa wakati, Pata mda angalau maaaa 7-8 kwa siku, Pumzisha akili yako, hisia zako, na mwili wako.
5. Vaa nguo nyepesi zisizobana mapumbu au korodani zako, Ukiwa Nyumbani usivae nguo zakubana, Epuka kuvaa suruali 2 kwenye joto kalii, Lala na nguo nyepesi au Lala uchi ni Afya.
TUISHI HAPA KWA LEO, RETWEET 🔄 VIDEO ▶️ IPO TELEGRAM SUBSCRIBE CHANEL LINK KWENYE COMMENT. 💪🍆🍑
Wanawake wengine Miyeyusho sana unahitaji Boyfriend wako awe tajiri akiwa na Miaka 26 ilihali Baba yako bado anashida na sio tajiri na anamiaka 60,Mental Health is Really..!!😂