@TichaMandevu Ukitaka sex sana anaona uko desprete we mpotezee usiwe na time na mwili wake alaf kaaa kimya utaona tu anaanza kulalamika au kujileta thats kama she is not cheating. Kwenye ndoa at time unatakiwa usichukulie vitu serious lasi hivyo utapata magonjwa ya moyo
@TichaMandevu Ndoa ni kuamua, at some point mwanaume hua ndio tatizo ila ningumu sana kupata connection na unaweza kuta sababu ya ajabu sana. All in all ndoa ni kuamua kumpenda mke wako cause most of the time unakuta huna sababu kabisa ya kumpenda au kuwa nae. Kwenye sex principle ni kuwa ukit