Kuna vijana hapa wametumwa kupick some stuff wameulizwa nyinyi ndio nani to be sure mzigo haipeanwi kwengine alaf wanasema wao ni sifuna. Tumeisha Bana 😅
One of my neighbors (the one I have the best relationship with) is putting up a wall because another neighbor on his side (a pastor) keeps channeling water onto his land, na inakula shamba.The more wall inapanda, it kinda feels sad juu salamu na kujuliana Hali kila siku zitaisha