Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo kuanzia Machi 20, mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani imesema baada ya DRC kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwezi Julai, 2022,