🚨MAY - 100.000$ GIVEAWAY🚨
🎉4 x 25K accounts🎉
1 - Follow @BlueGuardiancom and @_Chelios9
2 - Like and RT
3 - Tag 3 friends
Winners will be announced in 72h.
MWANAUME: Zingatia mambo haya (15) Ambayo yatakusaidia kuwa bora zaidi katika maisha yako.
1. Daima shika neno lako bila kujali kitakachotokea
2. Sema hapana kwa vitu usivyovipenda
3. Tenga wakati kwa ajili ya mambo yaliyo muhimu kwako na kwa familia yako.
4. Usiogope kamwe kuchukua hatua kubwa na kufuata malengo yako.
5. Kubali makosa yako na uwajibikie
6. Ongea kwa uaminifu. sema unachomaanisha na maanisha unachosema.
7. Jifunze kupigana na kujilinda katika hali yoyote dhidi ya mtu yeyote.
8. Jenga mwili wenye Nguvu na Afya na bora wakati wote.
9. Jenga mawazo yenye nguvu, Imarisha afya ya saikolojia yako.
10 .Siku zote epuka kubishana au kugombana, Kuwa na maneno machache.
11. Ikiwa hukualikwa, kaa kwako fanya mambo ya msingi kukupa thamani.
12. Usiombe uhusiano.
13. Acha kukimbiza wasichana na fukuza ndoto zako.
14. Kuwa mtu hodari na uwe mfano kwa watoto wako.
15. Fanya ibada, usichoke kujiombea kila siku.
SHARE FOR LOVE.......