#KataramaLuxury ni moja ya kampuni zilizoniamini mimi kukata tiketi kwaajili ya abiria wake kwa safari zote:
DAR_MWANZA
SAA 05:00 Asubuhi 88k
07:00 Mchana 100k
01:00 USIKU 80k
Dar-es-Salaam || Tunduma
Saa 07:00 mchana 68k
"Ushikaji ni kupeana support, One Love"
Najua wengi mnaweza kukata online, ila ukikata kwangu namimi nitaokota kidogo kwa nauli ile ile.
Karibuni sana wakuu ๐๐ป
๐จ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐: Riyad Mahrez announces his ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ from international football ๐ข๐ฉ๐ฟ
"This was my final match for the national team," he told beIN Sports after Algeria's elimination.
๐๏ธ 119 games
โฝ 40 goals
๐ ฐ๏ธ 45 assists
๐ AFCON 2019
๐ฅ 2016 African Footballer of the Year
King of Algeria. An absolute legend for his country. ๐
Kwa Unyenyekevu Mkubwa, Nawaletea hili jambo kutoka kwa mdau mmoja, mtu mwema sana. Ana mbuzi 198, wapo soko la Pugu, wana vibali na standard zote muhimu.
Anauza Flat rate ya 150K mmoja.
Natumai tutashirikiana mteja apatikana leo.
0762344677
Mungu awabariki sana ๐๐ผ
Please share.
Lumumba Vea โ real name Michel Kuka Mboladinga โ is a former baker turned impersonator who pays tribute to DR Congo's first prime minister, Patrice Lumumba.
He is in position in Guadalajara for his country's game against Colombia.
โHe has this special aura. Heโs a proper statue.โ - DR Congo fan Louis Mukoma.
Vyeti vya mgonjwa ni hivi. Hali kubwa inayomtesa kwa sasa ni uvimbe alionao. Ila tunashukuru kuna madaktari wanasaidia anaendelea vizuri. Na pia wanashukuru kwa michango yenu na mbarikiwe.
Wakuu kuna Fursa hapa
Anahitajika Mdada kwenye ofisi kwa nafasi ya Office Management. Awe mkaazi wa Dodoma
Majukumu:-
1. Kupokea simu za wateja na kuwahudumia.
2. Kuuza bidhaa zilizopo ofisini.
3. Kwenda kwenye maofisi kufanya presentation za huduma.
4. Kutengeneza Matangazo ya Social Media
SIFA:-
1. Awe na elimu yoyote kuanzia Form Four.
2. Awe na uwezo kufanya Presentation za kingereza na kiswahili.
3. Awe msafi na nadhifu muda wote.
4. Awe na uwezo wa kutangaza na kuuza
5. Awe na uwezo wa kuongea na mteja kuanzia kwenye simu.
6. Awe na uwezo wa kawaida wa matumizi ya Computer
Ofisi iko Jijini Dodoma.
Kwa maulizo zaidi piga simu no 0792103103
Namba: 0765128989
Jina: FROLA PHILEMON MWANGWALE (Wakala)
Mgonjwa ni kaka yake ana kansa ya ini. Tulifanikiwa kupata dawa za bei ya chini za 350k instead of 660k. Na Frola bado anajitahidi kwenda kazini ila kutokana na muda wa kumhudumia mgonjwa, anashindwa kufanya kazi effectively. So expenses zinamzidia kiaina. Kama unaweza kusaidia chochote hata 500 itamsaidia sana. Nashukuru pia kwa niaba. Jioni ntamuomba anitumie vyeti vya hospital msituite matapeli๐
Open box 17 Pro Max
256Gb-3,100,000
Never used mtu alikua ananunuliwa na baby wake amegoma kuweka passcode mbele ya jamaa na mwana nae kagoma kulipia
Cycle count-0
E-sim only
โ๏ธ0652795468