@assengajrr@mpolokwane123 Sio kweli, ongea kwa facts mkuu. Vijana wanachangia mno mnoo na siku hizi vijana wameamka sana kwenye imani. Mf. Radio Maria tangu kuanzishwa kwake mpaka leo imekuwa ikiendeshwa kwa michango na haijawahi kushuka au kuyumba
@ezekiel_kamwaga Mshkaji wangu kitambo sana na kazi zako nilikuwa nazikubali mno, lakini sasa unapoelekea, naona tunazidi kuishushia hadhi tasnia yetu😭
Sema malipo duniani ipo siku kama sio nyie basi kizazi chenu kitakuwa kinalia kinatekwa pia kumbe ni kisasi cha machozi ya haya yanayoendelea..Imagine mwanao siku zaidi ya 10 hujui yuko wapi na anafanya/anafanywa nini
"SOKA alitangaza maandamano yatakuwa 26.08.2024 ambayo ni leo, sasa kwa kuwa mmeshatimiza lengo lenu la kumfanya asiandamane MUACHIENI KESHO, la sivyo tutajua mlikuwa na NIA OVU juu yake. Ikipita siku ya kesho bado hamjamuachia, NITAMUOMBA MUNGU KITU"- Askofu Mwanamapinduzi
@IAMartin_ Hakuna haja ya kuwapa pole. Wamevuna walichopanda. Sijui Watz lini wataamka kutoka usingizi mzito waliolala katika kutetea haki zao. Na kinachotuponza pia asilimia kubwa ya Watz hata Katiba hawaijui ndio maana ni rahisi kupelekeshwa na kufokewa fokewa kama watoto
Baadhi ya wanawake wana tabia ya kuwatungia majina boyfriend zao au waume zao wakiwa na shoga zao bila wahusika kujua, utasikia vipi "DP World hajambo" au "Shemeji yenu Sheikh Kipozeo kasafiri" 😂😂😂😂
Kuna wale marafiki au ndugu ambao wanaweza wasiwe msaada sana kwako kimaokoto, ila unatamani uonane nao kila siku kutokana na mipango ya kimaisha wanayokupa kiasi kwamba unajiona upo dunia nyingine. Mna kochi lenu mbinguni😅