CREATOR MEETUP EVENT 2023 IMEFANIKIWA TUNAWASHUKURU WOTE
DHAMIRA
Content creator tupo busy na muda mwingi tunatumia kutengeneza content. Ilikua ni shauku yetu kubwa kufanya event ya kukutanisha Content Creator wa Tanzania na kushare mengi, kunnetwork na kujifunza.
๐๐ง๐๐ญ๐๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ #๐๐๐ฌ๐ข๐ ๐ง ? ๐ค
Tuko na Mtaalamu @joelmedia_ Wiki hii atatoa uzoefu wake Kwenye BUSINESS OF DESIGN
๐๏ธ Jumamosi hii, Aprili 19
โฐ saa 9:00 PM EAT
Link ipo kwenye Comment
โ Repost iwafikie weng
๐จ Unataka Kuwa Graphics Designer? ๐
Hizi ni software 3 muhimu unazopaswa kujua! ๐
โ Adobe Photoshop โ Kwa kubuni na kuhariri picha ๐ญ
โ Adobe Illustrator โ Kwa kutengeneza logos na michoro ya vector ๐จ
โ Adobe InDesign โ Kwa kupangilia magazeti, brosha na vitabu ๐
Kama unadhani Adobe Photoshop ni Ngumu nikuondoe wasiwasi ni rahisi mno
Nimekua nikiwasuprise wanafunzi wangu kwenye kila session nayowapa wengi hudhani kuwa ni ngumu kama wewe unavyodhan
Ndani ya wiki tatu pekee tunazofanya program hapa ofisini kwetu wengi wao wanatoka
Unaweza Kutazam Video nzima Youtube ya Joel Media tembelea sasahivi ujifunze
Andika Joel Media
Ofisi zetu Zipo
Ubungo External Dar es salaam
0745 152 680
KIJANA: KWANINI UJIFUNZE UJUZI WA KIDIGITALI NA KUFANYA KAZI REMOTE?
Dunia imebadilika, na kazi nyingi sasa zinafanyika mtandaoni. Hivi ndivyo unavyoweza kunufaika kwa kujifunza ujuzi wa kidigitali: ๐
fupi mtandaoni.
๐น Jenga portfolio yako โ Fanya kazi za majaribio na onesha uwezo wako.
๐น Jiunge na platform za kazi โ Tafuta kazi Instagram,Facebook, Fiverr, na zingine.
๐น Tangaza kazi zako mitandaoni โ Weka kazi zako kwenye Instagram, LinkedIn, au Facebook.
"Wewe Unasubiri Nini?
Kuna watu wana "3-Year Asking Syndrome":
2022: "Nataka kununua kozi yako!"
2023: "Bado nina interest, nitumie bei tena."
2024: "Kozi bado ipo? Niko serious this time!"
2025: Bado wanatafuta motivation ya kuanza.
Kama unahisi:
โ Bei ni ghali โ Nunua kile unachoweza kwa sasa, ujifunze kidogo, kama unahitaji msaada wa kifedha, sema wazi.
โ Unaogopa kushindwa โ Kila mtu alianza mahali, na mimi niko hapa kukusaidia.
โ Hujajipanga โ Weka hela kando, nunua, ujifunze sasa.
Jiunge na Kozi ya Graphics Design Inayoanza Wiki Ijayo! ๐จ๐ฅ
Hii ni nafasi yako ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa Graphics Design unaoweza kukusaidia kujiajiri au kupata kazi kwa urahisi. Utajifunza kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu na kupata maarifa ya kutengeneza
โ Access ya Masomo Kupitia website
โ Session za Live Zoom Meeting kila wiki mara moja kwa ajili ya maswali na majibu
โ Access ya WhatsApp Group kila siku
โ Utapata cheti kwenye kila kozi uliyoisoma na kumaliza kwa kufaulu
โ Kuunganishwa na ajira ikipatikana
๐ Mfano sahihi:
"Habari Joel, naitaji huduma ya graphic design kwa poster ya biashara yangu. Naweza kupata bei na muda wa kukamilika?"
๐ Wasiliana kwa usahihi, upate majibu haraka!
#JifunzeKuwasiliana#DMKwaHeshima#PunguzaManeno#FikishaUjumbe
"JIFUNZE KUWASILIANANA VIZURI! โจ"
โ Usianze DM na: "Halo" "Mambo" "Oyi" "Habari"
โ Nenda moja kwa moja kwenye pointi:
โ Eleza unachotaka kwa uwazi
โ Heshimu muda wa mtu
โ Toa Call to Action (CTA)