Faida moja muhimu sana ya kula samaki wa Ziwa Victoria ni kwamba wana protein ya hali ya juu inayosaidia kujenga na kutengeneza misuli, hivyo ni chakula kizuri kwa afya na hata kwa mtu anayefanya mazoezi au anayetaka kupunguza mafuta mwilini.
Mcheki @MarekaMalili kwa 0762344677
President @realDonaldTrump kawapa pressure Cuba mpaka wamenza kuwaachia wafungwa wa kisiasa ambao walifungwa sababu ya kupinga serikali.
Kwanini Watanzania hatupush kwa kuomba msaada kwa Trump ili Tundu Lissu aachiwe?
Tundu Lissu hawezi kuachiwa na kimama kwa sasa sababu anajua kitakachofata.
Watanzania, inabidi tuache kila kitu na ianze viral campaign, kwenye social media, ya kuomba msaada wa Trump hii ya situation iliyopo Tanzania.
Kuna Watanzania bado hawaja grasp kuwa sisi wananchi peke yetu kuwaondoa wauwaji madaraka itakuwa ngumu mnoo, lazma tupate backup ya nje.
Trump akiwa involved leo, Tundu Lissu anaachiwa next week.
Tunasherehekea pasaka bila SirJeff kuwa uraiani. Mungu amfanyie wepesi mzee wa IQ kubwa atoke gerezani. Ni bora atuseme sisi ni wajinga, tuna IQ ndogo hilo tunaweza kuvumilia ila yeye kuwa mahabusu sio vizuri.
Mm na familia yangu tunakutakia heri ya pasaka mh @TunduALissu japo samia na kindi lake la utekeja na huuwaji wamekutesa nakuendelea kukuweka magereza ila tulio wengi tuko nyuma yako baba.
@Freetundulissu
Salama za Pasaka tumetoa wito kufutwa kwa kesi wanayoitaja kuwa ya uongo dhidi ya Mwenyekiti wa chama, Tundu Antipas Lissu, hatua ambayo imeelezwa kuwa itasaidia kulinda misingi ya utawala wa sheria na haki za binadamu.