In my view Harambee wamejaribu over the two legs. But ndio nitoke hapa nilikua na watch game imebidi tukubaliane tutafuta kila mtu FKF kazi tukiingia. Sidhani rais ako na hizo powers but ni sawa. Wacha tutoe ruto kwanza.
Niko undisclosed location Emba tuna watch game ya Harambee. Key issues being discussed including ma defender imbo hawaezi clear ball. Also vile bei ya koti ya mkuu inatosha kupanda nyasi mzuri hapo Nyayo. Ineza kua ukweli lakini pia labda zime nice.
If you are a Kenyan in the US, catch us where you can. We apologize in advance if we don’t come to your City or State, but this isn’t our last visit. Tutarudi tena na tena. See you soon!
#LindaUS#LindaDiaspora