@kagerasugarfc Tatizo lenu hampo serious na mpira, wakati mpo ligi kuu hamjawahi kupromote jezi leo hii mmeshuka ndo mnakumbuka shuka mchana kweupe. Mmefelisha watu wengi sana kwenye soka, sasa simba na yanga watu wa kagera watazisikia kwenye taarifa za habari na sio kaitaba tena
@YoungAfricansSC Ushauri wangu ni kwamba hao wachezaji wa kigeni sasa wakacheze mpira wao uliowafanya tuwachukue laa sivyo dirisha dogo sio mbali Alafu wenyeji ukisikia paa ujue imekukosa endelea kupambana kwa nguvu. Na wote tuseme Amen