Shida ya joh makini Ana fanya HIP HOP ionekane nyepesi sanaa ku penetrate kwa kila rika.
500k kwa siku 3 kwenye bongo rap sio kitu chepesi hata kidogo.
Congrat Brother @JohMakini
Hii ni kubwa 👊
Mbuzi @YoungLunya ananyoosha maana ya mstari wake unaosema 'Nakula bongo movie undercover' aliouchana kwenye ngoma ya Passion akiwa na @JohMakini#PlanetBongo
@JohMakini Akili Mingi sana Mzee...Hizi kazi tunakudai Video zake Mwamba , kwa sababu ulitoa Heavy Tracks ukatunyima video zake... We love your Music , coz much of Vitamins...Always Be Positive Bro...
@JohMakini@EngMapundajr QJ na rama Nani anapima??sicheki na nyani si cheki na kima,Bado natikisa angaa ndani ya hii chat,siku ya Leo mko NAMI ndani ya hii party,Onyesha ujuzi Kisha waachie wengine style nyingine ,studio nyingine,ilimachizi twende level nyingine,Ile dizaini ya Zinedine what??Matawi haya
@JohMakini Respect saana , kila mwaka tuandalie event moja ya pamoja JOH MAKINI SUPPORTERS kukumbuka tuliko toka na tuchanike ngoma zako , hii ni kuenzi kazi kubwa uliyoifanya nyuma maana uliifanya game ya hip hop ifufuke upya na kuleta awareness juu ya biashara ya mziki wa hiphop nchini
@JohMakini Hii ngoma ulikuwa na hasira sana kipindi ile... Wapinzani hukuwapa nafasi ya kupumua hata sekunde ilikuwa ni jiwe juu ya jiwe... Game bado ni mbichi , Vita ya Kweli ni dhidi ya Ujinga na Umaskini sio Vita na Johmakini Mwanao atarithi nini? Tunawapigia Nyumbani nawapigia ugenini..