@MarekaMalili Maisha ni sawa na bondia asiyechoka kurusha ngumi, hakuna siku yataacha. Kazi ipo kwetu kama Mabondia Pinzani kuangalia ni kwa namna gani tunaepuka Ngumi za Bondia Maisha, ili life ieze endelea.
@KariakooTama@mkutubi_x@Chopawang Kuna namna hawa jamaa watakuwa wanapasikia tu. Ila ile Ardhi ya Mbabadu kwa Wazee wa Ardhi ni Hazina ni pamoto sana aisee