@kigogo2014 mkuu kuna uozo uko wilaya ya longido mkoa wa arushaa inayoendeleea yaani ni jipu iliooza na
Ukumbuke walipitisha mbunge bila kupingwaa au unahitaji uhakiki
Hii haitakuwa tofauti na tumbua tumbua ya Magufuli. Ni Magufulism without Magufuli! Haitafanikiwa. Kinachohitajika ni mifumo imara ya uwajibikaji wa Serikali na taasisi zake. Kinachohitajika ni demokrasia zaidi, haki zaidi, uwajibikaji zaidi. Kinachohitajika ni Katiba Mpya!
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe Mhashamu Baba Askofu Alfred Maluma. Alikuwa mtu mwema, mpenda maendeleo na aliyekuwa tayari kushirikiana na Serikali wakati wote. Nawapa pole Wakatoliki wote, Wananjombe na wote walioguswa na msiba huu.
@VodacomTanzania Wateja tunaelewa vema sio maamuzi yenu Bali ni kodi na gharama mnazotumia ndio imewafanya mkafanya haya
Nawahidi bado tupo pamoja@vodacomtz
@VodacomTanzania Kwanza hongereni kwa upande wa speed ya internet nakiri kusema mko faster kupita mitandao yote Tanzania kwa upande wangu
Cha pili poleni kwa mliotekeleza kwa Leo tarehe 2/04/2021 kwa kupanda kwa vifurushi ili kujaribu kubalance gharama zenu muweze kutoa huduma stahiki kwa sisi w
@ALeadekei @AbedLolokuru I'm john from Botswana but I'm tanzanian I'm irkisongoi maasai Mimi kama produce na musicians napenda sana na kusaport samburu music kama
Olemarti
Pilaz pilonje
My best nookisho and lentir
Abed
Saningodumero
Na wengine wengi lord bless samburu culture welcome tanzaniaan
@PilazP I'm john from Botswana but I'm are tanzania n I'm maasai irkisongo I love @PilazP song alone I'll support you traditional dancing music like @ambasong