Ghanaian MP Isaac Adongo apologized to Harry Maguire after mocking his performances last year, while applauding his current form for Manchester United.
Maguire accepted his apology and is looking forward to seeing him at Old Trafford.
Class! π
@Unitedtanzania1 Kwenye Mchezo huu tulipotea sana pale kati, Mount na Bruno wote sio wakabaji. Rashford inabidi acheze pembeni na Anthony mbwembwe nyingi. Tuna mlima mrefu kufika nchi ya ahadi. GGMU
@JMariotz Mngejenga basi uwanja kwa Matajiri!! Ili mfanye hiyo VIP Events.
Maana sehemu ulipo unasababisha haya washibiki wengi hutokea Tandika, Mbagala, Mikoroshini, Temeke na viunga vyake. Wengi hawana vyanzo wala kipato hicho.
Mkija mnakaa nje kunywa wenyewe wapo ndani tangia asubuhi.
@iammwanjala Mmevamia matamasha msiyoyaweza kwa kutaka kupata faida. Hii ni siku maalumu ya mashabiki sio swala la kupata fedha. Si mlijitamba mmeingiza mapato Makubwa bado mnawakalia kooni washabiki. Mlivyogundua limepoa tamasha lenu mkafungua geti waingie bure.
@boy_sella300 @Kiokote888@FKihamu@MusaRashid30877 Kwani hujui Chama anasimamiwa na nani? Huyo unaemuulizia anacheo gani pale Simba ndio msimamizi wake ndiomana alijibu vile kwamba Chama is here to stay.
@iHumphreyz Prof. kweli alipatikana ila issue kama hizi Commissioner wa Customs anazimaliza bila utata utakua uoga wake tu. Halafu huyo aliyefungia documents pia inaleta ukakasi maana Originals zinakua na mwenye gari azitumwi TRA. Afisa atakua ni assesment tu ambayo inafanyika kwenye system.