@crian_nicas Coins gani sasa mkuu wewe unapendekeza tuinvest? Mfano mimi sijaanza kuinvest nilikuwa naendelea na class je unashauri nianze na coins gan? At least 5 please
@Kapteiny_eric Bonge moja ya madini ya thamani kubwa sana hii knowledge ukienda SA wana kucharge $500 lakini sisi tunajipimia tu thank you bro tusiwe wachoyo tusivimbiane
@crian_nicas Kabisa kaka yaani kuna wakati nakata sana tamaa mfano. Kwenye forex yaani na deposit account nafanya analysis vizuri lakini naunguza muda mchache tu
@Sirjeff_D Kaka Jeff hapa sasa tushindwe wenyewe tu sasa. Watanzania nini kingine tunataka lakini. Bro nataka nije Dar nikuone tu hivi wewe ni mtu wa namna gani na nitakuuliza maswali matatu tu nikija na ninataka niwakute Wewe, Clinton, Na Elikana hapo HQ 360capital