@Sativa255@FIFAcom Wewe lalamika then siku zitaenda maisha yanaendelea. Jua kwanza historia ya Yanga na CCM sio kurupuka tu nakuanza kusema Yanga kakosea. Amekosea wapi kumbuka Aseti nyingi za Yanga zimetolewa na viongozi wa TANU NA ASP na hizi chama ndyo zimeunda CCM sasa Leo unalalamika nini?
@YoungAfricansSC Huyu jamaa hatakiwi kuanzia bench binafsi sipendezwi kbsa. Mwambieni coach amuanzishe,,,angalia jana amekuja kukiwasha sana baada ya kuingia.
@privaldinho Said Sion anachofanya hapo Yanga ukweli tumeshuka kimvuto,,uchezaji, tumekuwa timu ya kawaida Sana Yanga Bado inamuhitaji kocha kaliba ya Gamond na sio SAID wenu huyooo. Hata robo hatufiki Niko paleee