Maendeleo hayawezi kuwa kisingizio cha kuua watu, kuteka watu, kutofuata sheria, kuua demokrasia, kuleta uchawa, kuua bunge la wananchi nk..
Hivi baba yake Ben Saanane, mama yake Polepole, mke wa Mdude , mtoto wa Kipanya na maelfu ya waliotekwa na wengine kuuawawa.. familia ya Mzee Kibao au Mohamed Dewji alietekwa na kwa bahati akarudi…
Hawa watu Unawezaje kuwambia kiwango cha Maendeleo kinachotosha kuteka na kuua ndugu zai bila hatia?
Hakuna Maendeleo yanayoweza kulinganishwa na uhai wa mtu, Maendeleo ni kwaajili ya binadamu sio binadamu kwaajili ya maendeleo… watu wote wakifa hakutakua na maji, wala umeme wala barabara.
Unaweza kuwa kiongozi bora, ukafuata sheria, ukajenga demokrasia na bado ukafanya Maendeleo makubwa mno na Inawezekana.. Kiongozi dikteta ambae hajengi taasisi hakubaliki.
We have reached an agreement for the transfer of Jeremy Jacquet from Stade Rennais, with the defender set to join the club ahead of the 2026-27 season, subject to a work permit and international clearance 🙌🔴
Jaribio la kuifuta Chadema ni jaribio la kuzika matumaini ya Watanzania…
Ni jaribio la hatari na halitakubalika… washauri wa hivi ni washauri wanaotaka kuteketeza Nchi yetu kwa tamaa zao…
Watanzania hawatakubali mfute matumaini pekee ya maisha yao.