“Nilianza ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba miaka 12 iliyopita nikiwa na mtaji wa shilingi laki 8 tu. Laki 8 hiyo niliyoanza nayo ndiyo imefanya maajabu mnayoyaona hapa leo ambapo nimewekeza zaidi ya bilioni 1,” - Elpidius Mpanju. Video kwenye comment👇
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akichukua nafasi ya Nape Moses Nnauye ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Kabla ya uteuzi huu Silaa alikuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
#MillardAyoUPDATES