@tanescoyetutz Ooh kwahiyo Sasa mpaka kufikia 2030 shida ya umeme ndio itapungua, maana baada ya mabwawa kujaa maji, yatakuwa yamejaa udongo hivyo itahitajika kuanza kazi ya kufukua udongo, na kuandaa hafla ya kitaifa ya kuomba mvua kuyajaza maji, MNATIA AIBU.
@mwigulunchemba1 Nimeandika na kufuta mara kadhaa hivi, Sasa maji gani wakati serikali mnaamini katika kuomba mvua kwa mungu, wakati wenzetu jangwani wanajenga mitambo ya kuchuja maji ya bahari na vyoo kuwa Safi, sisi tunayo yakutosha kiukweli mnatia aibu nyie ni wasomi wa wapi?
@HecheJohn Kiukweli hapa hakuna nchi, na technology zote hizi na kujinasibu kwamba tumeendelea ndio bado tunaishi Kama miaka 400 iliyopita? Watu wanabadili maji ya vyoo kuwa maji Safi, maji ya bahari kuwa maji Safi na tozo wanakusanya wanajisifu upuuzi, Bora kuhama tu.
@millardayo@tonytogolani Labda ikiwa Tanzania itaondoa ukiritimba, lakini Kama hali itakuwepo hivi hivi mniite mbwa nipo hapa, kwanza sipati picha tozo watakazo kutana nazo, watageuzia safari yao airport.
@godbless_lema Sijawahi kusikia kauli za hovyo Kama hii, nahisi huu ni ulevi wa kupitiliza wa madaraka, wamesha jimilikisha nchi Sasa wanaona ni Kama Wana tawala familia yao ya nyumbani kwao
@HildaNewton21 Kinacho sikitisha ni mfanyakazi anakatwa makato kibao na Kodi za kutosha, kinacho bakia anapelekewa bank, Sasa akienda kuchukua Tena anakatwa tozo nyingine ya serikali, sio uhuni huu? Wizi wa wazi wazi Mimi naona
@Tz_Kwanza Yaani huyu anachowaza ni kunyonya watu tu na sio kuweka mazingira mazuri ili kila mtu aweze kupata pesa kwa utulivu na kulipa Kodi kwa amani, af anajiita Dr. wa uchumi, Dr wa uchumi pia anatakiwa kuwa mbunifu katika kutengeneza mifumo itakayo toa ajira nasio kupokonya.
@HecheJohn Mbaya zaidi ni kwamba mfanya kazi anakatwa Kodi 18% ya mshahara wake, Kisha wanamuwekea bank mshahara wake, na akienda kutoa pesa kupitia ATM au hata ndani ya bank Kuna tozo ya serikali tofauti na makato ya bank hii ni Kodi nyingine ya serikali.